MPYA! Gonga ili Utafsiri

Sasa huduma ya Google Tafsiri inatumika katika programu yoyote.

Translate app
×
×

Ongea na ulimwengu

Wasiliana na watu na ujue maeneo na tamaduni mbalimbali bila mipaka ya lugha.

Tazama video
Ipate kwenye Google Play Inapatikana kwenye App Store
ramani ya dunia

Daima na wewa

  • VIFAA VYA MKONONI
  • NJE YA MTANDAO
  • ENEO-KAZI

Programu ya Google Tafsiri ni kama kuwa na mkalimani wako binafsi mfukoni mwako.

Hakuna Intaneti? Usiwe na shaka. Ukiwa na hali ya nje ya mtandao si lazima simu yako iwe imeunganishwa.

Google Tafsiri inaweza kusaidia unapokumbana na maandishi marefu, matamshi magumu na hata hati zilizopakiwa.

Ongea, piga picha, andika kwa mkono au ucharaze.
Chaguo ni lako

Ongea na mtu ambaye anaongea lugha tofauti na yako.
Kwa ishara, menyu, n.k., lenga tu kamera yako na upate tafsiri papo hapo. Hata huhitaji muunganisho wa Intaneti.
Andika kwa mkono herufi na maneno ambayo huwezi kuingiza kwa kutumia kibodi yako.
Charaza tu maneno unayotaka kutafsiri.
  • ONGEA
  • PIGA PICHA
  • ANDIKA KWA MKONO
  • AINA
Ipate kwenye Google Play Inapatikana kwenye App Store